Kupitia Mradi wa Urithi Wetu PTP-II shirika la GCI laendelea na shughuli za Uhamasishaji na utoaji wa elimu ya kupanda miti, kutunza Mazingira, Misitu na Historia ya Tanzania Mkoa wa Kigoma katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji
Leo tarehe 22/01/2025, Shirika la Green Community Initiatives (GCI) na shirika la APHI Foundation kwa kushirikiana na asasi mbalimbali chini ya Mtand…
